Baada ya kufanikisha ndoto zake za kuanzisha TV hivi karibuni,rappa Diddy amesema ndoto yake kubwa kuwa mmiliki wa kwanza muafrica kumiliki timu katika ligi ya National Football League (NFL).
Akiongea na mtandao wa Diddy amesema anaupenda mchezo huo na zaidi angependa kumiliki timu moja ya inayoshiriki mchezo ligi hiyo ya NFL.Diddy ameongeza kusema ligi ya mchezo wa American Footbal imetawaliwa wa wachezaji wengi wenye asili ya kiafrica ila hakuna mmiliki muafrica,hivyo wakati ndiyo huu.
Thursday, October 24, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment