Mtandao wa eonline.com unaripoti Kanye West amemvisha pete Kim Kardashian katika hotel ya AT&T Park,San Francisco hukoCalifornia.
Rappa Kanye West amemvisha pete Kim Kardashian yenye almasi carat 15 aliyonunua toka kwa sonara maarufu,Lorraine Schwartz.
Rappa Kanye West alialika friends na family kushuhudia tukio na alikodisha bendi impigie nyimbo kadhaa ambapo walipiga nyimbo kama "Young & Beautiful" ya Lana Del R ana walipiga "Knock You Down, ya Keri Hilson aliowashirikisha Ne-Yo na Kanye West.
0 comments:
Post a Comment