Baada ya kuwa kimya kwa miaka mingi Rappa Ma$e ametangaza mpango wake wa kuja na albamu mpya.Rappa Ma$e ambaye alikuwa mwanachama wa Bad Boy aliyasema hayo kupitia akaunti yake ya Twitter ",kwa kuandika:y€$ #NOWWEEVEN ndiyo jina la albamu...,"
Ma$e pia ametaja list ya wasanii atakaowashirikisha katika albamu hiyo kamba ni:Drake,2 Chainz, ,Fabolous,Jay Z,Meek Mill, Beyoncé na Cee-Lo Green.
Monday, October 21, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment