Rappa toka pande za West Coast,Kendrick Lamar anaweza kusema mwaka 2013 ni mwaka wake,kwani ukiachana na kuleta mzozo mkubwa baada ya kujiita King wa New York,jarida la GQ limemtaja Kendrick Lamar kama "Rapper Of The Year".
Kendrick Lamar ametajwa "Rapper Of The Year" pamoja na kuwa katika fani hiyo kuna miamba kama Kanye,Jay Z, Drake, Eminem na kadhalika.
Wednesday, November 13, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment