Mariah Carey amese hakuwahi kufurahia maisha kama jaji ndani ya American Idol,Mariah Carey amefunguka hayo alipokuwa akihojiwa na mtangazaji wa Hot 97 Angie Martinez jumanne Nov. 12.
Mariah Carey ambaye alitumikia kipindi kimoja kama jaji katika mashindano hayo ya utafutaji wa wenye vipaji vya uimbaji linaloandaliwa na Fox musical,Mariah alikuwa jaji akishirikiana na Nicki Minaj,Randy Jackson, na Keith Urban .
Mariah Carey anasema yeye alikuwa wakwanza kuitwa kisha akafuata Randy Jackson,ikawa si tatizo kwake sababu kashafanya naye kazi,lakini baadae ikaja kuwa kama kufanya kazi na shetani baada ya kuongezwa watu wengine katika kazi hiyo ya ujaji,na ndipo anaposema alipoanza kuichukia kazi hiyo japo hakumtaja shetani huyo ni nani kati ya majaji wenzake japo tunajua fika walikwaruzana na Nicky Minaj.
Wednesday, November 13, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment