Rapper Ol' Dirty Bastard ni moja kati ya walioanzisha kundi maharufu la hip hop marekani,Wu-Tang Clan. Russell Tyrone Jones aka Ol' Dirty Bastard alizaliwa na kukulia Brooklyn alipata umaarufu mkubwa kutakana na mtindo aliokuwa akiutumia kuonekana wa kipekee na kingine kilichompatia umaarufu mkubwa na vituko vyake na matendo yake ya uvunjaji wa sheria mara kwa mara.Rappa Ol' Dirty Bastard alifariki akiwa na umri wa miaka 35,mwezi Nov tarehe 13 mwaka 2004 huko New York City baada ya kupata maumivu makali ya kifua yaliyopelekea kushindwa kupumua.
Mwaka 1993 Rapper Ol' Dirty Bastard aka ODB alitoa solo albamu ya Return to the 36 Chambers: The Dirty Version,mwezi March mwaka 1995.Albamu iliyokuwa na tracks kama "Brooklyn Zoo" na"Shimmy Shimmy Ya." Mwaka 1999 alitoa albamu ya N---a Please iliyokuwa na hit song kama "Got Your Money."
Thursday, November 14, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment