na mtandao wa Revolttv.com,rappa mmiliki wa mtandao huo na Bad Boy boss,Diddy amesema,ilizoeleka na inatambulika kuwa november tarehe 4 ndiyo kumbukumbu ya siku yangu ya kuzaliwa,lakini kwa sababu ambazo Diddy anazijua mwenyewe na kwa sababu yeye ni Diddy,amesema anabadlisha tarehe ya kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa kuipeleka mbele wiki mbili zaidi,badala ya kuwa tarehe 4 mwezi wa 11 sasa itakuwa tarehe 16 mwezi wa 11.
Sunday, November 3, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment