Mchezaji kiungo wa timu ya Dar es salaam Young Africans,Athman Iddy aka Chuji amesema anavutiwa na kazi za baadhi ya wasanii wa muziki wa kizazi kipya maarufu kama Bongo flava,na hii ni listi yake ya nyimbo 3 za Bongo flava anazozipenda:
No.1. Juma Nature Kiroboto - Hilli Game
no.2. Imamu Abbasi ft Domokaya - Baada ya Mahesabu
no.3. Langa - Kifo,Jela au Taasisi
Sunday, November 3, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment