Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Wednesday, November 20, 2013

eddie-arsenio 
Eddie Murphy na Arsenio Hall wamesema kuna uwezekano wa wawili hao kuungana na kuja tena na sehemu ya pili ya filamu ya Coming To America.
Arsenio Hall amesema habari za kuungana na Eddie Murphy na kutengeneza sehemu ya pili ya filamu ya Coming To America anazichukulia hizo kama ni habari njema na litakuwa ni jambo litakalomfurahisha.
Coming To America imetimiza miaka 25-tangu itoke mwaka 1988 na bado inabaki ndiyo chaguo namba moja kwa wapenzi wa movie za Eddie Murphy japo amecheza filamu nyingi na za kuvutia kama Nutty Proffesor,Norbit,Bevery hills Cop

Arsenio Hall hinted that his reunion with Eddie Murphy one would be an enjoyable one and the man told no lies.
While his former Coming to America sat in on the brand new Arsenio, Mr. Hall did some quick recollecting and gave a grand proclamation.
"You know this is the 25-year anniversary of Coming to America?," while the crowd raved on.
Released in 1988, Coming to America remains a personal favorite for many Murphy fans and most hail it as the funniest movie they have every laid eyes on
- See more at: http://hiphopwired.com/2013/11/19/eddie-murphy-arsenio-hall-coming-to-america-sequel-video/#sthash.KibOAsLo.dpuf

0 comments:

Post a Comment