Ikiwa imepita miezi sasa tangu asabishe kifo cha kijana mdogo Trayvon Martin kilichopelekea wamerica wengi haswa mastaa kuandamana kufuatia hukumu aliyopewa muuaji huyo.
George Zimmerman amejikuta mikononi mwa polisi baada kili kinachodaiwa kumtishia girlfriend wake kwa bastola.
Tukio hilo limetokea huko Apopka,kaskazini mashariki mwa mji wa Orlando nyumbani kwa girlfriend wake,taarifa zaidi zinadai,Mr. Zimmerman,30 alichukua uamuzi wa kumtishia bastola baada ya mwanamke huyo anayefahamika kwa jina la Samantha Scheibe kumuamuru atoke nyumbani kwake.Polisi walifika eneo la tukio baada ya kupigiwa kwa namba 991 ambapo wanadai walisikia sehemu ya mabishano hayo.
Tuesday, November 19, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment