Mtandao wa TMZ unaripoti,sanii wa Roc Nation,Rita Ora (22) alikimbizwa hospital huko Miami siku ya jumatatu baada ya kupoteza fah.amu wakati akipiga picha yaani photo shoot kwaajili ya kampeni ya Madonna,Materila Girl.
Doctor wa Rita Ora,David Farcy,ameuambia mtandao wa TMZ kwamba chanzo cha muimbaji huyo kupoteza fahamu ni mwili wake ulipata joto sana lililosababishwa na upungufu wa maji mwilini yaani dehydration.Rita ora alitoka hospitali masaa machache baadae baada ya kupata nafuu.
Tuesday, November 19, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment