Kanye alikuwa katika katika mahojiano na kituo cha 92.3 radio station na kusema alipokuwa Ufaransa alitaka kukutana na mkurugenzi wa Louis Vuitton,Yves Carcelle lakini alikataa.
Kanye point yake ni kumuonyesha kiongozi huyokwamba Yeezy's got power and influence na anataka kumpa somo.Kanye West alisema "Everybody in New York City right now, don't buy any
Louis Vuitton until after January."
Kanye amekuwa akiwalalamikia sana miamba ya fashion ambao bidhaa zao zinafanya vizuri kwa kusema,wana m bagua kufanya naye kazi kwa kuwa yeye ni raapa halafu ana asili ya kiafrica.
Tuesday, November 26, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment