Aliyekuwa mke wa Marc Anthony,Dayanara Torres ,Miss Universe wa mwaka 1993 anadai kile anachokiita kuongezewa pesa za matumizi kwa watoto kutoka $13 K kwa mwezi mpaka kufikia $113K ili aweze kumudu kulea watoto wao wawili.Dayanara, andai Marc alimuacha masikini walipotalikiana na kudai jamaa alikwenda kumnunulia JLO pete ya thamani ya dolla millioni 4.Dayanara anadai pia Marc alikuwa anapitisha mawiki na mieze bila kuwaona watoto na matokeo yake watoo waliishia kumuona tu katika tv akila bata na JLo.Dayanara anaongeza kusema Marc hajali mambo ya maana kwani hata aina za zawadi anazoleta kwa kwa watoto ni matoy,XMAS iliyopita aliwatumia mabox makubwa manne ya matoya makubwa na hapa kwangu ni padogo,hivyo wamekosa pa kuyachezea.
Dayanara pia anasema Marc anapendelea sana watoto wa JLO na anawapita matumizi kwa wakati.
Marc Anthony na Jennifer Lopez walipata watoto wawili,Max na Emme.
Tuesday, November 26, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment