Britney Spears hana muda wa kuchewesha mabo,baada ya kuzinguana na aliyekuwa mpenzi wake,Jason Trawick mwezi Januari,Britney alionekana akila bata na mtu anayefahamika kama David Lucadomwezi.Akiongea katika mahojiano naEntertainment Tonight, ya jana tar 26 nov,pop star huyo amefunguka na kusema yupo katika mapenzi motomoto na Lucado. na kumsifia jamaa huyo kwa kusema:"I like the fact that he's very stubborn and he's stuck in his ways. He's just a simple man. I adore him.
Tuesday, November 26, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment