Kim Kardashian na Kanye West walipanga kuendeleza furaha katika mapenzi yao baada ya kuvishana pete ya uchumba lakini kuna kikwazo kimejitokeza na kuwakera.
Wawili hao wamemfungulia mashtaka mkurugenzi wa YouTube,Chad Hurley ambaye aliusambaza mkanda wa shughuli ya mastar hao kuvifasha pete katika mtandao waake wa MixBit bila ridhaa yao.
Kardashian na West wanasema,walishawaandaa watu wao wa camera na kipande hicho ilibidi kianze kuonyeshwa "Keeping Up With the
Kardashians" and E!.
Saturday, November 2, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment