Kanye West si mtu wa kulazimisha mambo,rappa huyo ameamua kuahirisha shoo baada ya gari lililokuwa limebeba vifaa mbalimbali vya muziki na jukwaa kupata ajali likiwa njiani kuelekea Vancouver,hayo yamesemwa tar 31 na timu inayosimamia mipango ya Kanye.
Mpaka sasa hakuna tarifa lini itafanyika tamasha hilo mpaka mambo yatakapokuwa sawa.
Friday, November 1, 2013
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment