Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Thursday, December 26, 2013

 Kanye West Sued For Uncleared "Bound 2" Sample
Muimbaji mmoja anayetambulika kwa jina la Ricky Spicer mkazi wa Ohio ambaye anahusika na wimbo uliotoka mwaka 1971, “Bound”  amemfungulia mashtaka rappa Kanye West kwa kile anachodai wimbo wao umefaniwa sampling bila ruhusa.
Wimbo “Bound 2,” ndio uliokuwa wimbo wa mwisho katika latest album ya Kanye,Yeezus,na ndiyo iliyokuwa singleya pili kuachiwa kutoka katika albamu hiyo na iliachiwa mwezi August.Video ya wimbo huo imepata umaarufu mkubwa baada ya rappa Kanye West kumshirikisha mkewe mtarajiwa,Kim Kardashian.
Gazeti la New York Daily News,linaripoti Ricky Spicer,ambaye ameshiriki kuimba wimbo unaodaiwa umefaniwa sampling bila ruhusa toka kwa kundi la Ponderosa Twins Plus One,amemfungulia mashtaka rappa Kanye West na label yake.Wimbo original upo kwa Youtube na ulirekodiwa mwaka 1971 wakati  Spicer akiwa na umri wa miaka 12.
 

0 comments:

Post a Comment