Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Tuesday, January 21, 2014

Big Boi

Outkast ni kundi la muziki wa hip hop la huko East Point,Atlanta,Georgia American lililoundwa mwaka 1992 na André "André 3000" Benjaminna Antwan "Big Boi" Pattonna kufanya kazi na Record labels:kama Sony BMG Music Entertainment nk.
 The OutKast rapper,Big Boi kwa mara ya kwanza amezungumzia  kuungana kwake na mwenzake,André 3000.Big Boi amesema,wanasherekea miaka 20 zakuwapo katika hip hop“na tunaungana tena kwaajili ya mashabiki wetu.Mwezi April OutKast watatumbuiza katika tamsaha la kila mwaka la CoachellahukoIndio,Califonia watatumbuiza New York City mwezi June pia wana ratiba ya matamasha kama 40.Katika kusherekea anniversary ya miaka 20,kundi hilo la hip-hop wamefungua akaunti za Twitter,Facebook, Instagram na wamefungua website.
hapa kwetu pia mashabiki wangepewa raha kwa kuona makundi makubwa kadhaa yaliyofanya vema yakimaliza tofauti zao na kuungana.Daz Nundaz,Gangwe Mobb,Wanaume TMK,Hard Blastaz,Kwanza,Underground Souls,Dipolwmatz,Unique Sisters,Manduli Mobb,Joint Mobb,Soul Shaker (Snoop lee na Evanc),Park Lane,TNG Squad.BDP,Hot Pot Family,Wateule.Wagosi wa Kaya nk.
Outakast walifanikiwa kuachia nyimbo na albamu kadhaa zenye mafanikio makubwa tazama hapo chini:
Hey Ya!2003Speakerboxxx/The Love Below
Ms. Jackson2000Stankonia
Roses2003Speakerboxxx/The Love Below
B.O.B.2000Stankonia
So Fresh, So Clean2000Stankonia     

0 comments:

Post a Comment