Mtandao wa TMZ unaripoti yule dogo wa miaka 18 aliyechapwa na rappa Kanye West wiki iliyopita anataka alipwe yaishe.Habari zaidi zinadai dogo huyo tangu tukio litokee hajalipoti polisi na wala hataki kupambwa vyombo vya habari sababu anataka wamalizane pembeni.
Dogo huyo wa umri wa miaka 18 alipokea kichapo toka kwa rappa Kanye West wiki iliyopita baada ya kile kinachodaiwa kumrushia maneno machafu na ya kibaguzi reality star Kim Kardashian.
Chanzo kimoja kimesema pande hizo mbili wapo katika mchakato wa kuyamaliza chinichini.
Tuesday, January 21, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment