Muimbaji wa The “Body Party”ameandika barua ya wazi na kuiweka katika website yake ambapo ndani yake amewachana bloggers na watumiaji wa mitandao ya kijamii.
Katika barua yake yenye kichwa cha habari “What Is
Social Media Coming To?” Ciara amekiri kutembelea blogs na anatumia mitandao ya kijamii lakini kinachomkera zaidi ni uzushi na uongo
“Ushindani mkubwa uliopo katia sites unapelekea kuwaaibisha na kuwatoa machozi wengine‘.Mara chache utakuta story nzuri lakini mara nyingi ni pure drama.Ameongeza pia kusema sehemu nyingine inayokosa muelekeo ni comment sections,hili ndilo eneo hatari zaidi kwani watu huchangia bila hata kuafanyia jambo uchunguzi juu ya jambo lina ukweli kiasi gani.Ciara amezungumzia mitandao yote ya kijamii kuwa waliobuni walikiuwa na nia njema ila watumiaji ndiyo wanapotosha.
Wednesday, January 8, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment