Member wa Terror Squad,Fat Joe na Head wa G-Unit,50 Cent wanatuhakikishia wapenzi wa hip-hop kwamba beefs hazina mpango na kusamheana na kusahau yaliyopita baada ya miamba hiyo kufanya kazi pamoja katika track ya DJ Kay Slay-"Free Again.Miamba hii ilishawahi kuungana na kutumbuiza katika jukwaa moja katika BET Hip-Hop Awards mwaka 2012 katika tribute ya aliyewahi kuwa manager wao, Chris Lighty.
Wednesday, January 22, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment