Ikiwa hayajapita hata masaa 24 tangu rapp Jeezy apambe vichwa vya habari kwamba amekamatwa kwa kuwatolea maneno machafu polisi huko Georgia,rappa huyo huyo afunguka sababu sababu zilizompelekea kufanya hayo.Rappa Young Jeezy amesema polisi walimdhalilisha kwa makusudi baada ya kumjua kuwa ni rappa baada ya kufika eneo lililotaarifiwa kuna uharifu kwa njia ya alarm.Jeezy anasema baada tu ya mapolisi kufika eneo la tukia walimwambia kwa kejeli,anhaaa kumbe ni wewe rappa bila kujali kulikuwa na tukio gani,cha pili walishaniita jina na bado wakataka niwaonyeshe kitambulisho,kwa kweli walinichukulia kama mharifu tayari na kama haitoshi walithubutu kunipiga makofi ndipo nilipowajia juu.
Thursday, January 23, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment