The “Paper Planes” hitmaker M.I.A ameamua kuachana na kampuni ya Jay Z Roc Nation ambayo ilikuwa ikimanage tangu mwezi may mwaka 2012.
M.I.A alitangza uamuzi huo kupitia akaunti yake ya Twitter kwa kuandika “im leaving @RocNation,Thank to everyone who supported the M.I.A #MATANGI LP. HAPPY NEW YEAR | 2014.”Mwezi November aliachia albamu yake ya nne Matangi, ambayo ilipata nafasi ya kuingia katika 10 bora za mwaka za jarida la TIME magazine.
Roc Nation ina wasanii kama Rihanna,Shakira,Wale, Meek Mill naKylie Minogue.
Wednesday, January 1, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment