Kim Productions imefungua mashataka mahakamani kwa kile kinachodaiwa kumlipa rappa Chief Keef na kutotokea katika kchangia mfuko wa kansa ya maziwa.Tarifa zaidi zinadai rappa Chief Keef alitaka kulipwa kiasi cha dolla 250,00 na 250 za gharama za usafiri ambapo alipewa dola 150,00 kama kianzio alichopewa mwezi June mwaka 2013 lakini cha kushangaza Kief hakutokea hivyo ilibidi tamasha kufungwa na watu kurejeshewa mkwanja wao.Kim Productions inamtaka rappa Chief Keef kulipa kiasi cha dola 260,000 ikiwa ni malipo ya awali na usumbufu aliousababisha ikiwemo sound,light,securiy nk.
Tuesday, February 4, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment