Chris Brown aikuwa mahakamani huko L.A siku ya jumatatu akisindikizwa na wake girlfriend
Karrueche Tran na wakili wake,Mark Geragos. Walikuwa kwaajili ya kesi inayomkabili Brown ya kumshambulia mtu huko D.C.Katika kesi hiyo Brown amekutwa na makosa na angetakiwa kwenda jela .
Tabia na vitendo viovu upande wa Brown vinaonyesha vinaonyesha anaendelea kuwa mtu hatari kwenye jamii inayomzunguka.
Lakini hata hivyo hakimu wa mahakama kuu ya L.A,Judge James Brandlin amesema itakuwa vema Brown amalize siku 90 za rehab ya kuzikabili hasira kuliko kumpeleka jela.
Ikumbukwe kwamba Brown bado yupo katika probation ya kesi yake ya mwaka 2009 ya kumpiga aliyekuwa girlfriend wake,Rihanna na anatakiwa kufika mahakamani February 28.
Tuesday, February 4, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment