Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, February 24, 2014

 Chris Brown
Chris Brown ametoka darasa la rehab na sasa arejea mzigoni.The R&B superstar huyo amehitimu darasa lasiku 90 la kuzikabiri hasira kwamakosa ya kesi yake ya kumpiga aliyekuwa mpenzi wake,Rihanna japo taarifa zinadai alijipeleka mwnyewe baada ya kugomana na mtu mwezi October mwaka jana huko Washington D.C.

Chris Brown amerudi katika shughuli zake za sanaa ya muziki na tayari kashafanya drama ya kumfukuza aliyekuwa manager wak,Tina Davis kwasababu alizozisema kuvujisha kazi zake.
 Tazama hapo chini alichotweet Chris Brown.
Chris Brown Tweet

0 comments:

Post a Comment