The Brooklyn rapper,Lil Kim mwenye umri wa miaka 39 ni mja mzito,habari za kujulikana ujauzito huo zilivuma baada ya rappa huyo kuonekana katika New York Fashion Week siku ya jumatano.
Lil kim anasema japo yeye kwa sasa ni mjamzito lakini haimzuwii kujishughulisha.Lil Kim hajasema nani ni baba mtrajiwa.
Friday, February 14, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment