Baada ya taklibani miaka 10 ya ndoa ya R&B crooner Robin Thicke (36) na actress Paula Patton (38) watangaza kuachana.Habari za wawili hao kutengana zilivuma jana feb 24 baada ya ujumbe kuonekana katika mitandao ya kijamii ukisema :"We will always love each other and be best friends, however, we have mutually decided to separate at this time,"
Wawili hao ambamo walikutana wakati Thicke akiwa na umri wa miaka 14,walioana mwaka 2005 na wamebalikiwa kupata mtoto wa kiume aitwaye Julian Fuegoaliyezaliwa mwezi April 2010.
Sababu kubwa zinazosemekana kusababisha wawili hao kutenganga ni minong'ono ya michepukokatika kipindi cha mwaka 2014.Mwanzo mwa mwaka Thicke alionekana akila bata kimahaba na mdada ambaye hakutambulika nani katika nightclub ya Club 79 huko Paris. Tukio lingine ni lile la MTV Music Video Awards mwezi August huko New York baada ya kutumbuiza kimahaba na Miley Cyrus.LIngine ni picha iliyotumwa mtandaoni akiwa na shabiki binti mdogo lakini kilichoharibu ni pozi walilokaa kwani alionekana Thicke kam bambia makalio.
Tuesday, February 25, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment