Rappa na mshindi wa tuzo za Grammy Lil Wayne ameonyesha upendo kwa mwanafamilia mwenzake wa Young Money na mwanachama wa YMCMB baada ya kumtaja kuwa ndiye msanii bora wa hip-hop alive anayemzimia japo anavutiwa kwa kiasi kikubwa na marappa Drake na na Kendrick Lamar ambaye aliwahi kumsifia kwamaba hakuna anaye mfikia na angependa kuwa naye katika familia yake ya Young Money.
Rappa Lil Wyne amemtaja Young Money rappa Nicki Minaj kuwa ndiye The Best Rapper Alive kwa kusema Nicki Minaj siyo tu best female rapper bali ni the best rapper.
Tuesday, March 18, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment