Mtandao wa TMZ, unaripoti Kanye West ameonyesha hana makoa katika kesi iliyokuwa ikimkabili ya kumpiga na kumpora Camere paparazrwa L.A. .Daniel Ramos.
West amehukumiwa miaka 2 kuwa chini ya uangalizi,masaa 24 ya darasa la kujifunza kuzikabili hasira na masaa 250 ya kufanya kazi za kijamii.Vile vile West ametakiwa kuwa mbali na Ramosna ametakiwa kumlipa vifaa vyake vyote alivovisababishia uharibifu na kumlipa gharama za matibabu.
Tuesday, March 18, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment