Naibu Waziri Mkuu wa Ursi bwana Vladislav Surkov amuongelea hayati Tupac Shakur katika kile alichokisema kama moja kati ya vitu vilivyokuwa vikimvutia Americ.Bwamna Surkov amesema hayo baada ya utata unaoendelea sasa kati ya Russia na President Obama wa America kuhusu kisiwa cha Crimea ambacho kimerudishwa Urusi baada ya wakazi wa kisiwa hicho kupiga kura.Akijibu mapigo juu ya shutuma zilizoletwa na viongozi wa America,hiki ndicho alichokisema naibu waziri mkuu huyo wa Urusi:
The only things that interest me in the U.S. are Tupac Shakur, Allen Ginsberg, and Jackson Pollock. I don't need a visa to access their work. I lose nothing.
Wednesday, March 19, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment