Posted by djnicotracktz
on 3/20/2014 04:12:00 AMNo comments
G-Unit head 50 Cent ambaye hivi karibuni anaachia albamu yake mpya ya Animal Ambition ameweka bayan mipango yake ya baadae.
50 ameendeleza msimamo wake wa kujiapiza kutofanya kazi na pop star Justin Bieber, lakini ameelekeza mawazo yake kwa Young Money's Drake na Roc Nation princess Rihanna.
0 comments:
Post a Comment