Siyo rahisi ukitazama picha hii na kujua mtoto huyu alikuwa na maumivu kiasi gani ila kupitia ujumbe wa kuuzunisha alioutoa mtoto huyo raia wa Syria masaa kadhaa kabla ya kufariki.Nchi ya Syria inayoongozwa na raisi Bashar al-Assad ipo katika machafuko kiasi kwamba kupoteza maisha ya wengi wasi na hatia.
“I’m gonna tell God everything” ndilo neno lamwisho alilotamka mtoto huyo ambaye alikuwa katika maumivu makali alipofikishwa katika kituo imoja cha afya nchini Syria.
Friday, March 21, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment