Hitmaker wa “Drunk in Love” Beyonce anaendelea kuzibua mirija ya vyanzo vya mkwanja,ukiachia mbali dili za matangazo ya L’Oreal, Pepsi na H&M, Beyonce ameigiza kinara katika tangazo la kampeni la kiwanda cha Japan kinachotengeneza magari aina ya Toyota. Katika tangazo hilo la sekunde 30 Beyonce anaonekana akianzia tangu utotoni
na michakato mbalimbali aliyopitia,present day,akicheza mwenyewe,akiandika mistari ya nyimbo “Survivor”katika bus na akiwa studio na The-Dream na mwisho anaonekana akitumbuiza mbele ya maelfu ya watu.
“Every day I wake up, I make a choice. Not to let the world decide for me. I decide to get going,” says Beyoncé.
Na haya ndiyo maneno yanayosikika katika tangazo hilo:
I had a choice to stand still,to let thins happen or to make things hapen,“Every day I wake up, I make a choice. Not to let the world decide for me. I decide to get going,
0 comments:
Post a Comment