Lile jinamizi la talaka bado linawaandamawandoa mastaa Beyonce na mumewe Jay Z.
Baada ya uvumi wa muda mrefu kwamba hakuna maelewano kati yao,sasa kuimeibuka lingine,moja kati ya watu wanaofanya kazi nyumbani mwa mastaa hao ameuambia mtandao wa Radar Online:kwamba "Jay Z na mkewe Beyonce kila mmoja anlala kwenye chumba chake ambapo amesema vyumba vyao vinatazaman vikitenganishwa na chumba cha binti ya Blue Ivy’s room in between them."
Wapendanao ama wana ndoa kulala vyumba tofauti kwani lazima iwe kuna tataizo la kimahusiano? huenda mmoja akawa mkoromaji mkubwa ikawa ndiyo sababu ya kutengana.
Minong'ono juu ya wanandoa hao mastaa kutokuwa na maelewano yalizuka kipindi wapo katika ziara yao ya muziki ya pamoja ya a "On The Run" tour in 2014 ambapo baba wa Queen B, Matthew Knowles, alisema anaamini mastaa hao walitengenezesha uvumi huo kupandisha mauzo ya tiketi.
0 comments:
Post a Comment