Sehemu ya albamu mpya yanne ya rapa Rick Ross, Black Market, ilivuja.
Katika sehemu ya albamu iliyovuja kuna wimbo unaitwa , "Color Money," ambapo bosi huyo wa Maybach Music Group ametupia mistari kutoka katika diss track ya Drake kwa rapa Meek Mill ,"Back to Back."
Ktika "Back to Back" track, Drake alimchana Meek Mill kwamba ni mfungua onyesho katika show za Nicki Minaji katika ziara yake ya "Pinkprint Tour."
Ross pia alimkosoa Drake mstari wake katika "0-100" kwamba aligeza kutoka ka kundi la Forrest Gump,kisha mwisho wasiku Rozay alimdiss Puff Daddy kwa mstari huu:
"Double M, we balling way harder than Puff and them / It ain't no love lost, I only see one boss," he raps.
0 comments:
Post a Comment