Ikiwa yamebaki matamasha manne katika ziara yake ya muziki ya ulaya inayoiitwa “Would You Like a Tour?”rappa Drake alitumia nafasi hiyo kutambulisha wimbo wake mpya “Call On Me kwa mashabiki wake wa ulaya katika uwanja wa National Indoor Arena huko Birmingham,Englandsiku ya ijumaa.Tayari wimbo huo upo katika minong'ono kwamba Drake amemuimbia Rihanna.
Sunday, March 23, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment