Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Sunday, March 23, 2014


Hivi karibuni mwanamuziki wa pop nchini Nigeria,Soul E amejivika unabii katika kile alichokiita kupokea unabii kimiujiza.Tarehe 23/04 mwanamuziki wa pop nchini Nigeria,Soul E kuptia akaunti yake ya  Instagram alisema amepokea ujumbe toka kwa Mungu,ujumbe unaomwonyesha jinsi vifo vya wasanii mastaawa Nigeri,Wizkid na Davidovitakavyokuwa.Nabii huyo ambaye pia ni muimbaji amesema uujumbe huo umemuonyesha msanii Wizkid atakufa kwa kulishwa sumu na Davido atakufa kwa ajali mbaya ya gari.
Haya ndiyo aliyoandika Soul E:“When GOD gives a vision he gives it so we are careful and pray, as I was sleeping the lord open my eyes and saw Wizkid been poisoned, he needs to be very careful and get close to GOD, I also saw Davido in a very fatal moto (motor) car accident I stand a (as a) prophet and I cancel this, finally I saw ASO ROCK on fire the president needs to delay 3day of fasting and pray for the nation am not hear to make any one afraid if GOD reviews a vision he is ready to save…..

Soul E

0 comments:

Post a Comment