Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Sunday, March 23, 2014


Mtandao wa  MediaTakeOut unaripoti,crew ya watu wanaomsaidia rappa Drake katika ziara ya ke ya Would you like Tour? hawakumpenda pop star  Rihanna wasn’t  hivyo inasemekana wakamshawisi rapa huyo kumrudisha Rihanna kutoka katika ziara hiyo,Cahnzo kimoja cha karibu rapa Drake alikuwa kama amebanwaa sana na Rihanna kiasi kwamba ailionekana kama anawatenga watu wake wa kazi. ndipo walipounda fitina ya kumuondosha.Inasemekana Drake alikubaliana na crew yake na hivyo alimuamuru popstar huyo arudi America.Baada ya Rihanna kuondoka rappa Drake alionekana akiwa na mrembo aliyewahi kusemekana mpenzi wake kwa miaka 2.Mrembo uyo ambaye ni mwanamitindio anatambulikwa kwa jinala Wana i maarufu bali anaumbile la kuvutia zaidi,Tazama baadhi ya picha za mrembo huyo:

0 comments:

Post a Comment