Presenter/DJ at RadioOne stay with me "Dj Show" Monday to Friday

RadioOne Dar es salaam 89.7FM|Arusha 95.3FM|Tabora 98.1FM|Dodoma 100.8FM|Mwanza 102.9FM|Moshi 132.3KHZ|Morogoro 103.2MHZ|Tanga 106.3MHZ|Bukoba 92.1MHZ Home of Good Music Tanzania

Monday, March 24, 2014

 
Justin Bieber amenigia katika ulimwengu wa watu maarufu wenye michoro miilini yaani tatoo baada ya kuchora kifuani na ubavuni.
Mtandao wa Tmz unaripoti Bieber amechorwa tatoo ambayo ni ya kihistoria kwani kazi hiyo imefanyika akiwa futi 40,000 toka usawa wa bahari akiwa katika ndege kuelekea Canada.Tatoo hiyo imeingia katika rekodi ya the highest altitude tattoo baada ya mchoraji kusema na kukuri kwamba haikuwa rahisi kazi hiyo.Tatoo imechorwa na Bang Bang ambaye huwachora watu marufu wengi wakiwamo Rihanna,Selena Gomez,Katy Perry.
Bang Bang amesema Bieber alimtumia ujumbe akisema:"Forgiveness is powerful, forgive as Jesus died on the cross to forgive our sins." ikimaanisha
alihitaji mchoro utakaoelezea hisia zake ambazo ni kusamehe kama alivyofanya Yesu ndipo alipoamua kumchora tatto ya Malaba eneo la kifua.
0321_justin_bieber_tattoo_launch_v2

0 comments:

Post a Comment