Mashabiki wa Lil Wayne wanatakiwa kuwa na subira kufuatia kuahirishwa kwa uzindizi wa albumu ya Tha Carter V waliyotaarifiwa itaachiwa tarehe 5 mwezi may.
Mwezi February Drakealitangaza tarehe ya kuachia albamu hiyo itaachiwa tarehe 5 mwezi may akiwa jukwaani katika tamasha huko Orleans kwa kusema kama unataka kusikia albamu best ya boss wa Young Money Lil Wayne,suburini tarehe May 5.
Manager wa Lil Wyne amesema atatangaza rasmi tarehe ya uzinduzi wa albamu hiyo pindi itakapokuwa tayari kabisa na kujiridhisha kabisa.
Friday, March 28, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment