Sean Kingston amejikuta matatizoni baada ya magari yake mawili kuchukuliwa wiki kadhaa zilizopita.
Taarifa zaidi zinasema Sean Kingston mara ya kwanza alipokoywa gari aina ya Mercedez Benz G-Wagen huko L.A. shopping baada ya muimbaji huyo kukiuka masharti ya malipo ya gari kwa kupitisha miezi mitatu zaidi.
Gari la pili ne Betley lilichukuliwa na mawakala wale wale wa kukusanya madeni na bidhaa siku ya jumatano pale Sean Kingston alipokuwa akila bata katika hotel ya kifahari ya schmancy Mondrian hotel na kumucha muimbaji huyo na washkaji zake kutumia usafiri wa kukodi.SeanKingstone inaesemekana ana utajiri wa dola millioni 2.
Friday, March 28, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment