Benzino amekutana na mkasa wa kupigwa bastola siku ya jumamosi akiwa njiani kuelekea kumzika mama yake mzazi bi Mary Scott ambaye alifariki tarehe 20 mwezi March.Chanzo kimoja cha karibu kinadai Benzino kupigwa bastola ilitokana na kutokuelewana na mwanafamilia mmoja aitwaye Gai Scott.Benzino alikuwa akiendesha gari aina ya Dodge SUV ndipo ndugu yake huyo aliyekuwa akiendesha gari aina ya Bentley kuja mpaka usawa wake na kuanza kummiminia risasai,Taarifa zaidi zianadai Benzino ama the “Love & Hip Hop Atlanta” star na former owner wa The Source magazine ambaye jina lake kamili ni Raymond Scott,alipigwa risasi na binamu yake aitwaye Gai Scott baada ya kutokea kutokuelewana baina ya wanafamilia.Baada ya tukio Benzino alikimbizwa katika hospitali ya karibu na tunataarifiwa anaendelea vizuri japo hakuweza kuhudhuria mazishi ya mama yake.Gai Scott alikamatwa na polisi baada ya tukio na anakabiliwa na kesi ya kutaka kuua kwa silaha.
Benzino amezaliwa July 18, 1965 (age 48),
0 comments:
Post a Comment