Young Money's Nicki Minaj anaonekana kuwakatisha tamaa wale single men's waliokuwa na matumaini ya kupata nafasi ya kuwa wapenzi wa rappa huyo.Picha mpya inayomuonesha Nick Minaj akiwa amevalia pete ya uchumba kidoleni mkono wa kushoto inadhihirisha kwamba mambo yanaenda vema na mpenzi wake wa sasa ambaye ni Safaree Samuels.Nick Minaj amerudi na pete hiy baada ya kuwa na likizo fupi na mpenzi wake huko Mexico ambapo walionekana wakifurahia maisha sehemu mbali mbali za starehe.
0 comments:
Post a Comment