Harusi ya ya mastaa ambao wapo juu na ni maarufu inaripotiwa kuwa itakuwa ni ya gharama sana.Dolla 125,000 kutmika kwa kila mgeni kati ya waalikwa wao 200 linaripoti Grazia UK reports StyleCaster.Kama si mzuri katika mahesabu ni kwamba itatumika zaidi ya dolla 25 million ambapo wageni waalikwa watapokelewa na vijizawadi vyenye nakshi za dhahabu,albau ya picha ambavyo kila kimoja kinagharimu dolla 1,000,chupa za Bollinger champagne ambaozo ni dolla 500 kila moja na vocha za dolla 250 kwa kila mgeni kuipatia mahitaji binafsi hapo hotelini .Hapo hatujaongelea misosi,gauni la bibi harusi na mengineyo.
Katika harusi hiyo tarajia kuwaona maStar kama Robin Thicke, Jared Leto, Jonah Hill, Anna Wintour, Oprah Winfrey, Will and Jada Pinkett Smith, Prince, Karl Lagerfeld, Barack and Michelle Obama, Beyoncé and Jay Z nk.
Tuesday, April 8, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment