Sir Alex Ferguson amekubali na amepewa mkataba wa muda mrefu kufndisha katika chuo kikuu cha Harvard.Ferguson atafundisha kozi mpya iitwayo "The Business of Entertainment,Media and Sports" in the school's program ambayo itaanza mwezi May mwaka huu.Wengine ambao tutarajie kuwaona wakipewa dili hilo ni kocha wa Manchester,David Moyes ambaye inasemekana ameshatuma maombi.
0 comments:
Post a Comment