No "Thriller" ... no "Beat It" ... no King of Po,ndiyo maneno aliyoyasema kaka wa mfalme wa pop duniani,marehemu Michael Jackson,akimaanisha kusingekuwapo mfalme wa pop,"Thriller" wala "Beat kama siyo uwapo wa Jackson 5.
The Jackson 5 ni kundi la muziki wa roki la nchini Marekani lililoundwa na wanamuziki watano;akiwamo
- Jackie Jackson
- Tito Jackson
- Jermaine Jackson
- Marlon Jackson
- Michael Jackson
Jermaine Jackson aliyasema hayo wakati akijibu tuhuma zilizotolewa na mama wa watoto wawili wa Michael Jackso kwamba anataka uhalali wa malezi ya watoto hao kwa kile alichokiita uangalizi duni toka kwa familia hiyo ya Michaele Jackson.
0 comments:
Post a Comment