Mr. and Mrs. Carter watangaza kufanya ziara ya muziki pamoja kipindi cha majira ya joto.Mtandao wa Page six umesema,The superstar couple wamesema mara hii ziara yao ya pamoja itakuwa katika viwanja mbalimbali nchini Marekani katika miji 20 ambapo kwa mji wa New York show itakuwa July 4.
Ziara hii inakuja baada ya Beyoncé kumaliza ziara yake ya sehemu zaid ya 132 iliyoitwa“Mrs. Carter Show World Tour,” na Jay Z akiwa amemaliza ziara yake ya miji 52 ya ziara aliyoiita “Magna Carter World Tour” mwezi January.
Mr. Carter & mrs Carte waliibuka kwa kushtukiza katika tamasha la Coachella ambapo Beyoncé alipanda jukwaani na kudance kumsapport dadake,Solange, wakati Jay alipanda kumpa tafu Nas.
Wednesday, April 16, 2014
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment