Rappa 50 Cent ameendeleza chokochokoko kwa Boss wa Bad Boys Entertainmen Diddy kwa kuiponda track yake mpya aliyowashirikisha Rick Ross na French Montana.
Rappa 50Cent aliyasema hayo alipokuwa akihojiwa na 92Q Jams ya MTV News kufuatia kujibu swali juu ya unaonaje ushindani uliopo kati yake na miamba ya hip hop kama Jay Z na DIddy.
50 amesema amoja kati ya mabo yaliyomchukiza zaidi kuhusu Diddy ni plae aliposema huwa aandiki mashairi,ikitokea kuandika huandika check tu.
Baada ya kusema hayo 50 amesema hadhani kama atakuwapo muda mrefu kwa game kwani anachokiangalia kwa sasa ni kutimiza malengo albamu yake ya Animal Ambition,kisha atageukia katika kuwainua new young artists.”
Ikumbukwe hii si mara ya kwanza kwa 50 kumzingua ama kuponda kazi za Diddy,mnamo mwaka 2012 akihojiwa na radio Power 92 ya Chicago,aliiponda albamu ya Diddy’s Dirty Money - Last Train to Paris na kuiita “garbage (kabichi).”
0 comments:
Post a Comment