No Breaking Up: Jude Okoye & P-Square Still Together Despite Rumors ndivo vilivyoandikwa vichwa vya habari mbalimbali vya nchini Nigeria kufuatia uvumi na minong'ono iliyosambaa kwamba Peter na Paul wamemuengua kaka yao mkubwa,Jude Okoye katika kundi la P-Square.Story hizi zilisambaa baada ya kaka yao huyo Jude Okoye kunadika” After over 10yrs of hard work, it’s over. Am done,” kupitia akaunti yake ya Twitter. Vyombo vya habari mbalimbali vya nchini Nigeria viliandika habari hii na kuhusisha kisa hiki na visingizi vingi vikiwemo vya kusema mmoja kati ya wake zao amesababisha kaka hao kutengana.Pamoja na hayo yote kuandikwa P-Square wamesema bado wapo pamoja na habari hizo si za kweli.
0 comments:
Post a Comment